
Ganika
Mwalimu wako wa kila siku. Jifunze hatua kwa hatua, jibu maswali, na pata msaada wa kazi za nyumbani.
- Darasa la 1 – 7 · Kidato cha 1 – 4 · Kidato cha 5 – 6
- Kwa wanafunzi, wazazi na walimu
Ganika linatokana na neno la Kinyamwezi “iganika”: kujitafakari ndani yako, kuandika mawazo yako na kukua binafsi. Ni aina ya “wiganiki”, yaani ufahamu.
Wasiliana nasi